Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka, akiuzulia mazishi ya hayati MZEE SAMWELI NTAMBALA LUANGISA

Prof Tibaijuka akiuzulia mazishi ya Mzee Samweli Ntambala Luangisa aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa kwanza wa ziwa magharibi,mkuu wa mkoa wa mara,balozi wa Tanzania katika nchi za jamhuri ya watu wa China,Balozi Jamhuri ya watu wa Korea,Jamhuri ya watu wa Zaire miaka ya 1973-1975.Pia alipata kuwa meya wa manispaa ya Bukoba na Mbunge wa wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa zaidi ya miaka 35














