Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Mh Prof Anna Tibaijuka(mb) akiwa katika kikao cha Halmashauri ya wilaya ya Muleba

Tarehe 05-02-2016 Mh Prof Anna Tibaiujuka,mbunge wa Muleba Kusini ameshiriki katika kikao cha Halmashauri ya wilaya ya Muleba kilichofanyika wilayani Muleba

1

Prof Anna Tibaijuka(mb) akizungumza katika kikao cha halmashauri ya wilaya ya Muleba

3

Mh. Prof Tibaiujka akisalimiana na baadhi ya wajumbe.

5

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba (kushoto) akizungumza katika kikao.Kulia ni Prof Anna Tibaijuka(mb)

4

2

Posted by on Feb 6 2016. Filed under Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya