Wakati bunge la 11 likiendele Dodoma, baadhi ya wabunge wamepata nafasi ya kuchangia katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Profesa Anna Tibaijuka ambaye pia ni mbunge wa Muleba kusini alisimama bungeni na kuongelea changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na umasikini.