Prof Anna Tibaijuka(MB) ameshinda kesi ya malalamiko ya uchaguzi iliyofunguliwa dhidi yake
15-12-2015 Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka ameshinda kesi ya malalamiko ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini ndugu Kashasla.Jaji wa mahakama kuu mkoa wa Kagera ameondoa shataka hilo.(Picha na Mansoor Amri Kahauza)














