Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akishiriki zoezi la usafi pamoja na wakazi wa Muleba Kusini
09/12/2015 Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akiadhimisha sikukuu ya Uhuru(miaka 54 ya uhuru) kwa kufanya usafi wa mazingira pamoja na wakazi wa Muleba Kusini katika kutekeleza agizo la Raisi John Pombe Magufuli. (Picha na Mansoor Amri Kahauza)

Prof Anna Tibaijuka(MB) akishiriki zoezi la usafi pamoja na wakazi wa Muleba Kusini katika kuadhimisha sikukuu ya uhuru.

















