Prof Anna Tibaijuka akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani
Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna Tibaijuka akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani mara baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba ambapo Bw. Kamugisha aliibuka mshindi kwa akupata kura 45.(Picha na Mansoor Amri Kahauza)

















