Prof Anna Tibaijuka audhuria kikao cha kumchagua mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
Tarehe 6/12/2015 Mbunge wa Muleba Kusini,Prof Anna Tibaijuka audhuria kikao cha kumchagua mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya aya Muleba ambapo ndugu Kamugisha diwani kata ya Kikuku alipata kura 34 na ndugu Magongo diwani kata ya Muhutwe alipata kura 10.



















