Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Category archives for: Constituency

Prof. mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge jimbo la Muleba kusini 12/09/2015

Katibu wa  CCM mkoa wa kagera mama Costansia Buhiye akimkabidhi ilani ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka mgombea ubunge   jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge. Share on:

Ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka

12/9/2015 Prof Mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM na mama Costansia Buhiye katibu wa  CCM mkoa wa kagera katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge   jimbo la Muleba Kusini   Share on:

Kwa Maendeleo ya Tanzania na Muleba Kusini chagua CCM, chagua Dr. John Pombe Magufuli na Prof Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Kwa maendeleo ya Muleba Kusini 2015 chagua Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Umati wa wananchi ukimsindikiza Prof Anna Tibaijuka mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika kura ya maoni

Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM.   Share on:

Prof Anna K.Tibaijuka ashinda kwa kishindo kura za maoni za chama cha Mapinduzi jimbo la Muleba Kusini

03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna  Tibaijuka kuwa mshindi  wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa.     Share on:

Prof Anna Tibaijuka akipiga kura katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro tarehe 01/08/2015

Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25   Share on:

Prof Anna Tibaijuka akiomba ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kijacho kwa wananchi wa Nyakabango kata ya Kimwani

  Share on:

Vikundi 848 vya kijamii vyamchangia Prof Tibaijuka pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Muleba Kusini

  Share on:

Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka akihutubia wananchi wa Muleba Kusini wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM jimboni Muleba Kusini

  Share on:

Ziara ya Katibu mkuu wa CCM Bw. Abdulrahman Kinana jimbo la Muleba Kusini tarehe 08/06/2015

Share on:

Prof Anna Tibaijuka(Mb) atembelea Kijiji cha Kagazi kata ya Nshamba na kupokelewa na mamia ya wananchi

Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna Tibaijuka siku ya tarehe 04/06/2015alitembelea kijiji cha Kagazi kata ya Nshamba na kupokelewa  na umati mkubwa wa wananchi.Vikundi 110 vya miradi ya maendeleo vilifika kumkaribisha   Share on:

Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka, akiuzulia mazishi ya hayati MZEE SAMWELI NTAMBALA LUANGISA

    Share on:

Ziara ya Prof Anna Tibaijuka(MP) jimboni Muleba Kusini

Mbunge wa muleba kusini Prof  Anna Tibaijuka alitembelea kata ya kimwani kijiji cha kaguramo kitongoji cha kaazi nyakishabo na kulakiwa namamia ya wananchi waliopanda mlimani wakiwa na matawi ya miti huku wakiimba. Kaazi ni kambi kubwa ya wavuvi Mwenyekiti wa kitongoji cha Kaazi Nyakishabo Ndugu Ojax Dorolyma Lyapa alionyesha furaha yake kwa kusoma risala ya […]

BARBRO JOHANSSON BOARD OF TRUSTEES PUBLIC STATEMENT REGARDING MR. JAMES RUGEMALIRA’S SCHOOL DONATION OF TZS 1,617,100,000/- (USD 1 MILLION)*

CLICK THE LINKS BELOW TO DOWNLOAD         Click here to Download Swahili release Click here to Download English release       Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya