Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Changamoto za usafiri wa maji na ukosefu wa gati katika mialo jimbo la Muleba Kusini

Juni 2015. Changamoto za usafiri wa maji na ukosefu wa gati katika mialo. Jimbo la Muleba Kusini ambalo nusu yake ni visiwa ndani ya Ziwa Viktoria. Pichani Profesa Anna Tibaijuka akibebwa kutoka kwenye Boti na Katibu Mwenezi wa Mkoa Ndugu Hamim wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Mhe Kinana. Kwa wanawake inahitaji moyo na uthubutu.

 

Posted by on Sep 25 2017. Filed under Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya