Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dr. Yamungu Kayandabila akiwasilisha hotuba ya Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Makazi Habitat III mjini Quito Ecuador

Taarifa kwa Wabunge.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dr. Yamungu Kayandabila akiwasilisha hotuba ya Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Makazi Habitat III mjini Quito Ecuador. Amesisitiza umuhimu wa jumuiya ya kimataifa kuzisaidia nchi maskini na zinazoendelea katika upatikanaji wa fedha za uendelezaji wa makazi yao. Amesema mwisho wa siku miji itafanana kama ilivyopewa uwezo kifedha kupangwa na kujengwa. Picha zinaonesha pia ujumbe wa Tanzania ukimpongeza mara baada ya kutoa hotuba hiyo kwa niaba ya Mhe Rais kwa ufasaha. Alimalizia akiwakalibisha wajumbe kuitembelea Tanzania na Zanzibar.  Hotuba kamili inaambatishwa.

WhatsApp Image 2016-10-19 at 21.14.56
WhatsApp Image 2016-10-19 at 21.15.30

Posted by on Oct 20 2016. Filed under Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya