Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

8 January 2016 hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.

Tarehe 8-01-2016 Hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.Pichani ni mwaka 1988 akiwa amembeba mwanae Kagem nyumbani kwao Makongo juu jijini Dar es salaam.Balozi Tibaijuka alifariki mwaka 2000 akiwa na umri wa miaka 55.Apumzike kwa amaniHayati Wison Tibaijuka

Posted by on Jan 9 2016. Filed under Daily Photo, Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya