Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Prof Anna Tibaijuka,mbunge wa Muleba Kusini ashiriki katika mkutano wa Maendeleo ya Manispaa ya Bukoba(BUMUDECO)

Mbunge wa Muleba Kusini Mh. Prof Anna Tibaijuka ,ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa maendeleo ya manispaa ya Bukoba,Bukoba Municipal Developmental Conference(BUMUDECO) uliyofanyika tarehe 27-12-2015 mjini Bukoba.Walioudhulia mkutano huo ni pamoja na mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh.Wilfred Lwakatare,Bw. James Rugemalila,Askofu Methodius Kilaini pamoja na wadau wengineo wa maendeleo(Picha na Mansoor Amri Kahauza)

Prof Anna Tibaijuka akizungumza katika mkutano

Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akihutubia katika mkutano wa maendeleo ya manispaa ya Bukoba.

Prof Anna Tibaijuka akizungumza katika mkutano

Mh. Prof Anna Tibaijuka akizungumza katika mkutano wa BUMUDECO, Dec 2015

Prof tibaijuka akisaini

Posted by on Dec 29 2015. Filed under Daily Photo, Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya