Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Jumapili ya 27/12/2015 Prof Anna Tibaijuka(MB) ashiriki misa kanisa la Kasaidolo,mjini Bukoba

Mbunge wa Muleba Kusini Mh. Prof Anna Tibaijuka ameshiriki misa katika kanisa la Kasaidolo mjini Bukoba jumapili ya tarehe 27/12/2015.Baada ya misa mheshimiwa alishiriki katika kikao kilichofanyika kanisani hapo.(Picha na Mansoor Amri Kahauza)

Prof Tibaijuka na KilainiMh. Anna Tibaijuka katika picha ya pamoja na Askofu Methodius Kilaini,
Kulia ni Mama Rugimbana.
Prof Anna Tibaijuka(MB) akisalimiana na Bw James Rugemalila

Prof Anna Tibaijuka(MB) akisalimiana na Bw James Rugemalila mara baada ya kutoka katika misa ya jumapili iliyofanyika kanisa la Kasaidolo,Bukoba

Prof Anna Tibaijuka 2

Mh Tibaijuka akisalimiana mara baada ya misa

 

Prof Anna Tibaijuka

Mh. Tibaijuka(mb) akiwa na katibu wake Mh. Denisi(Diwani)

Posted by on Dec 29 2015. Filed under Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya