Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akishiriki zoezi la usafi pamoja na wakazi wa Muleba Kusini

09/12/2015 Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akiadhimisha sikukuu ya Uhuru(miaka 54 ya uhuru) kwa kufanya usafi wa mazingira pamoja na wakazi wa Muleba Kusini katika kutekeleza agizo la Raisi John Pombe Magufuli. (Picha na Mansoor Amri Kahauza)

Prof Anna Tibaijuka

Prof Anna Tibaijuka(MB) akishiriki zoezila usafi katika eneo la Kariakoo,Muleba Kusini

Prof Anna Tibaijuka2

Prof Anna Tibaijuka(MB) akishiriki zoezi la usafi katika eneo la Kariakoo,Muleba Kusini

Prof Anna Tibaijuka3

Prof Anna Tibaijuka4

Prof Anna Tibaijuka(MB) akishiriki zoezi la usafi pamoja na wakazi wa Muleba Kusini katika kuadhimisha sikukuu ya uhuru.

Prof Anna Tibaijuka5

Posted by on Dec 9 2015. Filed under Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya