Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Mkutano wa kampeni za Urasi na Ubunge jimbo la Muleba Kusini

Mgombea uraisi kupitia CCM Dr. John Magufuli na mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka wakiwa katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu  2015 uliofanyika Muleba Kusini, Septemba 2015(picha na Kamanzi)

Prof Anna Tibaijuka akisalimiana na Dr. John Magufuli katika mkutano wa kampeni jimbo la Muleba Kusini

Prof Anna Tibaijuka akisalimiana na Dr John Magufuli katika mkutano wa kampeni za uchaguzi 2015 jimbo la Muleba Kusini

DSC_5881

Dr John Magufuli akihutubia wakazi wa Muleba Kusini katika mkutano wa Kampeni za uraisi jimbo la Muleba Kusini.

DSC_5927

Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka akiingia katika viwanja vya kufanyia a mkutano wa kampeni za uchaguzi 2015 Muleba Kusini

Posted by on Sep 20 2015. Filed under Chama cha mapinduzi, Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya