Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Mh. Prof Tibaijuka akiwa katika kampeni kata ya Mazinga, Muleba Kusini

Mh. Prof  AnnaTibaijuka, mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM  akiwanadi madiwani wa kata Mazinga.

Prof Tibaijuka akiwanadi madiwani wa kata Mazinga

Prof Tibaijuka akiwanadi madiwani wa kata Mazinga

Mh. Prof Tibaijuka akiwapokea wanachama waliorejesha kadi za CHADEMA katika kata ya mazinga Mh Anna Tibaijuka akiwanadi diwani wa Mazinga na diwani wa Muleba Mr Tuma na Mnawalu tarehe 2392015

Posted by on Sep 28 2015. Filed under Chama cha mapinduzi, Muleba South Constituency, Prof Tibaijuka's Daily Photo News. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Both comments and pings are currently closed.

Comments are closed

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya