12-08-2016 Profesa Anna Tibaijuka(Mb) audhulia hafla ya kumkaribisha mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Tanzania Mh Dakt. John Pombe Magufuli
Share on:
Share on:
Share on:
Share on:
Mh. Prof AnnaTibaijuka, mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM akiwanadi madiwani wa kata Mazinga. Share on:
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr. John Magufuli na mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka wakiwa katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 uliofanyika Muleba Kusini, Septemba 2015(picha na Kamanzi) Share on:
Share on:
Share on:
Katibu wa CCM mkoa wa kagera mama Costansia Buhiye akimkabidhi ilani ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge. Share on:
12/9/2015 Prof Mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM na mama Costansia Buhiye katibu wa CCM mkoa wa kagera katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Share on:
Share on:
Share on:
Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM. Share on:
03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna Tibaijuka kuwa mshindi wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa. Share on:
Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25 Share on: